Kuna njia nyingi za kuongeza LIKES facebook kwa kutumia apps za aina nyingi.
Leo nitawaonyesha njia ya kuongeza likes kwa kutumia app inayoitwa 4liker
Hii app inaweza kukuongezea like za ya 1000 kwa kutumia hii ya 4liker.
App ya 4liker inapatkana google na sio PlayStore kama zilivyokuwa app nyingine.
Unachotakiwa kufanya nikuingia google na kuandika 4liker apk alaf utaidouwload.
Hii app inauwezo wa kutoa like 250 kwa mara moja ila kwa ina uwezo wa kutoa like hadi 750 na kuendelea.
Baada ya kuipakuwa hiyo app
Angalia hiyo video hapo juu
Inaelekeza jinsi ya kuitumia
Asante.
We mkali
ReplyDelete