Jinsi ya kupata app ya Real follower
Hii app haipatikani 'Playstore'
=> Unaingia google alafu unasearch hiyo App kwa kuandika 'Real follower apk'
Zitakuja website ambazo hiyo app hupatikana utachagua website unaitaka
Alafu download hyo app ya Realfollower
Jinsi ya kuitumia real follower
=> Utaifungua hiyo app
=> Utaingia kupitia instagram account yko
=> Baada ya hapo zitakuja njia mbili ambazo znakupa 'COINS' ambazo utazitumia kuweza kupata followers na likes nyingi zaidi kwny instagram account yako kwa kupitia 'REAL FOLLOWER'
==> Ili uweze kuelewa kwa vitendo zaidi ya hapo Angalia hyo video hapo naimani utaelewa zaidi ya hapo
Ahsante.
Comments
Post a Comment