Karibu tena ujionee ni jinsi gani unaweza ukatumia namba ya nje ya nchi kwenye whatsapp yako na mawasiliano mengine _Kwanza unatakiwa kupata app ambayo itakuwezesha kupata namba ya nje ili uweze kutumia. _baada ya kuipata na kuipakuwa hapo ndio utaweza kufanya yote ambayo utaitaji kutumia au kufanya baada ya kuipata. _angalia hyo video hapo juu ambayo itakuelekeza jinsi utaipata hyo namba na matumizi yake.