Skip to main content

Posts

Showing posts from July, 2017

MJUE NI NANI AMBAYE HAJA KUFOLLOW BACK KWENYE INSTAGRAM

Leo ni siku ya kuwajuza njia mpya ya kuweza kujua ninani ambaye umemfollow Lakin yeye ajakufollow back.  Unachotakiwa kufanya ni kuingia PlayStore na kudownload app inayoitwa Followers assistant hii app itakuonyesha kujua MTU ambae ajarudisha majibu ya kukufollow kwake ili kuelewa zaidi check jinsi ya kuitumia hyo app ya Followers assistant hapo juu      Asante